0715222132 chati nae whatsapp komaa nae.jaman nisaidien jinsi ya kupata pesa yangu kutoka 1xbet nimediposit tangu ijumaa hd leo pesa hakuna
mkuu whatsap sina .ila wanapigia simu hata hawapokei0715222132 chati nae whatsapp komaa nae.
Hawapokeagi mkuumkuu whatsap sina .ila wanapigia simu hata hawapokei
Ngoja nijaribu kwa kuweka kwanza dau dogoNi double chance
Mbona sisi tunaweka pesa na kutoa pesa bila shida kak labda ulikosea sehemu kakajaman nisaidien jinsi ya kupata pesa yangu kutoka 1xbet nimediposit tangu ijumaa hd leo pesa hakuna
Fani za watu hizi kiongozi utafurahi kiasi utalia sana ha ha ha haaaNgoja nijaribu kwa kuweka kwanza dau dogo
safi sana, tumpige muhindiMkuu mimi hii ndio njia yangu ya kubeti sikuhizi na huwa nampiga sana muhindi
Hizo Odds ni 3 na points kadhaaWe acha masihara. Jana nimempa liverpool kwenye hiyo double chance kapigwa 1. Mwindi ni zaidi ya jini acha uchawi.
Ushauri huo mkeka ni mzuri ila lunguza baadhi hapo upate atlest odds 3.
Kazi njema
Mkuu kwahiyo nisiulipie huu mkeka?Valencia kasepa nao mwisho wa mchezo dadeki
Mkuu kwahiyo nisiulipie huu mkeka?
We jamaa utakuwa mchawi. Ulimuua liver!Mkuu haya mambo hayana mwenyewe,shuhudia zaga hapo halikuitaji timu za odd ndogo,by the way mdau njoo tusuke perfect yale maeneo yetu ya kule
Hivi ulifanyeje mkuu mpaka ukapata pesa yako uliyodeposit 1xbet maana mimi kuna kama 29500 mpaka leo haijafikaAsanten kwa ushirikiano wanu hatimae pesa imeingia yote.
Mi nili deal na voda, m lipa pamoja na 1×bet customer care.Hivi ulifanyeje mkuu mpaka ukapata pesa yako uliyodeposit 1xbet maana mimi kuna kama 29500 mpaka leo haijafika