Tatizo wananichanganya lugha wale watu voda wananiambia hela imeshakwenda lakini kwa account hakuna kituMi nili deal na voda, m lipa pamoja na 1×bet customer care.
Basi deal na M lipa mkuu.Tatizo wananichanganya lugha wale watu voda wananiambia hela imeshakwenda lakini kwa account hakuna kitu
Hao m lipa hata namba yao sina kabisa mkuuBasi deal na M lipa mkuu.
Pitia koment juu nimeiweka utachat nao whatsappHao m lipa hata namba yao sina kabisa mkuu
Mkuu wewe ni mgeni kwenye hii tasnia bila shakaKwani mkeka una options mbili?Yaani unachagua hii au ile
Ndiyo mkuuMkuu wewe ni mgeni kwenye hii tasnia bila shaka
Hizi records za Q na half kumbe huwa ni mwanga sana. Acha nianze kucheza nazo.First half winner 7/7
First quarter winner 9/9
Phills ni timu ya quarter ktk michezo 9 wamenipa hela kwenye michezo 8 wacha niwapumzishe
Tembea taaratibu huu mchezo hauna bingwa....ila unalipa sanaNdiyo mkuu
Baada ya Eibar kuharibu nikampa 76ers win q1 premierbet.
Nikasubiri line-up nikawaona Saric, Embiid na Simmons wapo nikaingia princessbet nikawapa win half time inplay nikalala asubuhi nakuta zote mbili zimetiki.
Asubuhi yangu imekuwa mubashara kabisa
KiswahiliHuwa wanatumia lugha gani huko whatsapp
Tia yoote. Weka mshahara wako wooteTuweke sh ngapi? Maana ww umetia Elfu 55000/=
Yeah. Kwenye fut ball ipo inaitwa double Chance.Kwani mkeka una options mbili?Yaani unachagua hii au ile
Zinasaidia sana mkuuHizi records za Q na half kumbe huwa ni mwanga sana. Acha nianze kucheza nazo.
mbona unakua na urasimu anakwambia namba hana just put it here kumwambia pitia sijui huko juu mimeweka sio msaadaPitia koment juu nimeiweka utachat nao whatsapp