Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Kwa hasara niliyoitengeneza toka J'mosi mpk jana ... haivumiliki. Ngoja niwapumzishe Princessbet until further notice, huenda kuna kitu huko.
Niko PlayMaster na Mr. Wise ... saiv ni mwendo wa InPlay tu mpk nirudishe japo nusu ya hasara.
Nimetenga kilo 2 ... kuanzia saa 2 na nusu leo ntakuwa busy sn hapa - PMbet | Best online betting odds in Tanzania | Play Master ... kuanzia odds 1.25 nakomba, as long as ni uhakika.
Hata huyu kweli jana wa kuninyima hela???? unapigwa 3 na kitimu kipo mkiani huko ...
kweli ukistaajabu ya filauni utayaona ya Kanji.
View attachment 682954
Lazima ujisajili ktk program ya bonus kwanza1xbet hii bonus unaitumiaje maana sina kitu afu naona kuna bonus imekaa tu!!mwenye uzoefu pls
Mrembo mambo?
Magdeburg red card ndo ilimuuaWalizingua sn jana ... huwezi amini. Mimi nilimuomba ashinde kipindi chochote ... HT wakaenda 0-0, kipindi cha pili akamiminiwa 3-1 ... shughuli ikaishia hapo. Juve na Jong Ajax walifanya kazi niliyowaomba.
unajisajilije mkuu nielekezeLazima ujisajili ktk program ya bonus kwanza
Al-Kawkab 0 - 1 Al Wehda Meccainplay gg
Magdeburg akiwa away no Mara chache kutoa 3+Ila mkuu huyu anafaa zaidi kwenye 3+
Pia mimi.niliwapa x2 odd ya 1.04.waliharibu list yanguHata huyu kweli jana wa kuninyima hela???? unapigwa 3 na kitimu kipo mkiani huko ...
kweli ukistaajabu ya filauni utayaona ya Kanji.
View attachment 682954
ningekuwa naijua timu tatizo si ningeukopi huo mkeka halafu niitoe hiyo "timu tatizo" . Tatizo la timu huwa linatokea ndani ya muda wa mchezo (90 minutes) sio kabla ya mchezo. Eti timu zako zote hizo tisa zisipate tatizo ndani ya dakika 90.............. HAIWEZEKANI.....HAIWEZEKANI, msipende kulaghai watu. Naomba tarehe 25 urudi utupe mrejesho.Timu ipi tatizo?
Kumbe hata nisingekujibu maana umeongea pumba tu.Nilifikiri labda una sababu za kimichezo kusema hivyo ...Unabwabwaja tuningekuwa naijua timu tatizo si ningeukopi huo mkeka halafu niitoe hiyo "timu tatizo" . Tatizo la timu huwa linatokea ndani ya muda wa mchezo (90 minutes) sio kabla ya mchezo. Eti timu zako zote hizo tisa zisipate tatizo ndani ya dakika 90.............. HAIWEZEKANI.....HAIWEZEKANI, msipende kulaghai watu. Naomba tarehe 25 urudi utupe mrejesho.
Kumbe hata nisingekujibu maana umeongea pumba tu.Nilifikiri labda una sababu za kimichezo kusema hivyo ...Unabwabwaja tu
halaf si alipie milioni moja kama ana uhakika.....hiyo 55 tu bado anajiuliza. poor mindPumbafu zako kabisa lipia kwanza tuone kama upo serious, naona ni pending payment
Leo kimya humu dah!kuna mtu kafariki
0715222132,,,,chat nao watsupjaman hawa jamaa 1xbet hawataki kunipa pesa yangu tangu nilivyodeposit ijumaa nisaidien mawasiliano yao