Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau wadau me ninacho kiamin hii option ya 10 min X uhakika ni sanaaa... sema leo team iliyochana sikujua kwamba inacheza cup... huwa sibet hata siku moja team ikicheza cup.. huwa na bet league tu.. proper analysis kwenye 10 min X uhakika ni sanaaa wadau..... 100%.
 
sawa tumekuelewa usitusahau mkuu kutupia tuwe tunaokota na sie game mbili tatu. si unajua odd za kudunduliza tena.
 
Mkuu itakuwa una mattz kama nabii titto maana mara uhakika ni sanaa mara 100%
 
Duh,
Man city mbinafsi sana.

Hataki kabisa habari za kushare upgaji wa corner.
 
Dah,
Kweli aisee

Uhakika ni 100%
 
MKITAKA WEBSITE YA KUBET INAYO TOA MIKEKA NA NI WEBSITE YA NJE NINA MAANA YA WALE WAZUNGU NGULI WA KUCHAMBUA NA KU RISK MIKEKA NA INATOA ASILIMI 98% NI WEWE MWENYEWE UKITAKA ODD ZOZOTE NI UN CHANGUA TU BONYEZA HAPA>>>>>> WINTIPS100.COM
 
Sometime hivi vitu si vibaya lakini kumbuka na wewe pia inatakiwa ujiongeze kwa sababu wanaochambua ni watu kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…