Wadau wadau me ninacho kiamin hii option ya 10 min X uhakika ni sanaaa... sema leo team iliyochana sikujua kwamba inacheza cup... huwa sibet hata siku moja team ikicheza cup.. huwa na bet league tu.. proper analysis kwenye 10 min X uhakika ni sanaaa wadau..... 100%.
Kuna watu mko km mmelaaniwa hivi.MKITAKA WEBSITE YA KUBET INAYO TOA MIKEKA NA NI WEBSITE YA NJE NINA MAANA YA WALE WAZUNGU NGULI WA KUCHAMBUA NA KU RISK MIKEKA NA INATOA ASILIMI 98% NI WEWE MWENYEWE UKITAKA ODD ZOZOTE NI UN CHANGUA TU BONYEZA HAPA>>>>>> WINTIPS100.COM
BET WONRotherham United - Bradford City
1/X
Scunthorpe Utd - Doncaster Rovers
Over 1.5 goals
SV Zulte Waregem - Standard Liege
Over 1.5 goals
St. Truidense VV - Yellow-Red KV Mechelen
Over 1.5 goals
1.39
X
Stake:
Odds:
3.24
Double chance yellow card for sevilla.Mkuu rusha vitu vya Inplay
Tusikimbiane tu....
Utani huo mkuukaziiinaendeleaa mpenitu atletico
Oooooh...awanaakilisevila kama swanseaUtani huo mkuu
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]Tusikimbiane tu....
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu naona umechafukwa aiseeKuna watu mko km mmelaaniwa hivi.
(Samahan kw kauli ngumu)
Ila sometimes inabd TU iwe hivyo
Hiyo link ynyw ulotoa inafungua kitu tofauti kabisa.
Bad enough kilichoko huko ni full stories za udaku , majungu na fitna
Hakuna hata harufu wala dalili ya tips wala ishu yyt inayohusu mikeka.
Hivi,
Ulishndwa nn kusema wazi kua unatangaza blogspot ya udaku.
Shame on you!
Habar za matangazo ya udaku peleka jukwaa LA matangazo na kwingineko.
Huku ni mikeka TU.
SAMAHAN SN WAKUU NA MODS KWA KUTUMIA LUGHA NGUMU.
MTANISAMEHE,
SOMETIMES WATU KM HAWA WANAKERA SANA.
View attachment 683384
***bet won**In play
Portugal
Olivirance to win over 4.5 corner
Odds: 1.45
***bet woon***Mechi ya sevilla
In play
Under 4.5
1.50 odds