Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah Proff napata mashaka sasa na uelewa wako,hivi unajua kitu uhakika 100% maana yake nini?Ina maana hakuna mechi za ligi watu wanafungana kuanzia dakika 1_10??Kama ni hivyo basi hata Makanjibhai wangeiondoa hio Option maana tungeachana na options zoote tukahamia huko!Labda uniambie kuna uwezekano mkubwa ila sio 100%

Sijui kama tunaelewana happ....
 
Labda niweke maneno yangu sawa.. ukifanya proper analysis ni 100% sure.. na sio kila game inatoa hiyo option.. but ukikaaa chini ukachambua vizur games unapata uhakikaaa 10 min X uhakika ni sanaaa... hopefully umenielewa chief.
 
[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Labda niweke maneno yangu sawa.. ukifanya proper analysis ni 100% sure.. na sio kila game inatoa hiyo option.. but ukikaaa chini ukachambua vizur games unapata uhakikaaa 10 min X uhakika ni sanaaa... hopefully umenielewa chief.
Lete mkeka Proff wa 100% tunauskilizia wa leo......
 
Wanga wengi sana boss.. yaan mtu anafurahi mkeka wa mwenzake uchanike. Na anafanya na party kbsaa.. dahhh aiseee jana nmesikitika sana...
Achana nao kaka hapa duniani hata ukiwapa watu kila siku shilingi elfu tano iwe hawatakushukuru wote wengine watasema unachezea hela. So nakuomba weka tu mkeka atayetaka afuate asiyetaka aache
 
senge kweli hilo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…