Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndio ndugu
Gsw kafikisha 121.5

Hongera, mimi kanizingua Q1 kashindwa kabisa kufurukuta kufikisha vikapu 59, ilihali New York knickers walifikisha mpaka points 31 nikapotezea 82,000/=, na Q4 kanipotezea tena 25,000/=

Leo kaondoka na laki yangu namuona
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…