Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona leoo apoel nicosia amefix match hahahahah balaa hili
Mkuu ulichek stats zao Apoel last 5 games alkua ana chezea vipigo tuu kwa apollon draw katoa Mara moja anapigwa home and away there were no way to fix that game
 
584b2b75c9fc51fd9a262416f2df87e1.jpg
5fe46ed929d31f3433d848dde4fc243a.jpg

All thebest
 
Appoel ni ya Cyprus acha kukulupuka
Hahaha[emoji23][emoji23] Mjomba we ndo umekurupuka kwani katika hio comment yangu mi Nmemtaja Apoel wako huyo?kua ni mfaransa au mgiriki au ni mholanzi??Mdau katoa wazo la Match fixing mimi nikajibu nikarefer game za nchi ambazo zimewahi kunicost kwa dalili ya match fixing!Next time tuliza akili kabla HUJAKURUPUKA.
 
Mtu ameongelea appoel wewe unakuja kuleta matatizo yako for who's benefit?

Ungeanzisha uzi wako kuandika huo ujinga na najua kuwa ulikuwa hujui kuwa appoel ni ya Cyprus nimekufumbua macho tu dogo
 
Hahahaa povu linakutoka,Kila mtu ana haki ya kuchangia humu kwa lugha nzuri uusinipangie nini cha kusema na wakati,well I ve brought it for my and everybody's benefit exept you!whats yo prob now?

apoel nicosia naifahamu ni timu inayotokea visiwa vya Cyprus vinavyopatikana Europe.

Usinipangie cha kusema wewe!
 
Nimegundua kuwa wewe ni punga
 
Nimegundua kuwa wewe ni punga
Tukana jingine ilo la kawaida sana hahaha.....
Bado una ujinga wa kutukana watu mitandaoni?ayo mambo ya kike.

Men up bro,kukimbilia matusi ni dalili ya kushindwa kwa hoja....[emoji23][emoji23]
 
Jaman wataalam wa kona tupe mawazo vencia kipind cha kwanza wanazo 10 vp wataweza kutoa 5 cha pili?
 
Back
Top Bottom