Mkuu ulichek stats zao Apoel last 5 games alkua ana chezea vipigo tuu kwa apollon draw katoa Mara moja anapigwa home and away there were no way to fix that gameNaona leoo apoel nicosia amefix match hahahahah balaa hili
Hao M-Lipa ndio matatizo...na sio 1xbet...sijui ni kampuni zetu za kibongo zinashindwa connection hata sielewi
Amna kitu lazio katoa mbonaLazioo
itakua hao M LipaHao M-Lipa ndio matatizo...na sio 1xbet...
Wamenigomea wnanambia mambo ya bonus sijakamilisha wapuuz kweli hawaKm umeshawahi kubet ukala, unadraw tu mpunga wako
Wagiriki,Waisraeli,Wafaransa2 na waholanzi2 sitawabetia direct wins!Ni Gg, au 3+ na nyingnezo....Naona leoo apoel nicosia amefix match hahahahah balaa hili
Appoel ni ya Cyprus acha kukulupukaWagiriki,Waisraeli,Wafaransa2 na waholanzi2 sitawabetia direct wins!Ni Gg, au 3+ na nyingnezo....
Chelsea 3-1Arsenal
Samporia all over 8.5
Hahaha[emoji23][emoji23] Mjomba we ndo umekurupuka kwani katika hio comment yangu mi Nmemtaja Apoel wako huyo?kua ni mfaransa au mgiriki au ni mholanzi??Mdau katoa wazo la Match fixing mimi nikajibu nikarefer game za nchi ambazo zimewahi kunicost kwa dalili ya match fixing!Next time tuliza akili kabla HUJAKURUPUKA.Appoel ni ya Cyprus acha kukulupuka
Mtu ameongelea appoel wewe unakuja kuleta matatizo yako for who's benefit?Hahaha[emoji23][emoji23] Mjomba we ndo umekurupuka kwani katika hio comment yangu mi Nmemtaja Apoel wako huyo?kua ni mfaransa au mgiriki au ni mholanzi??Mdau katoa wazo la Match fixing mimi nikajibu nikarefer game za nchi ambazo zimewahi kunicost kwa dalili ya match fixing!Next time tuliza akili kabla HUJAKURUPUKA.
Hahahaa povu linakutoka,Kila mtu ana haki ya kuchangia humu kwa lugha nzuri uusinipangie nini cha kusema na wakati,well I ve brought it for my and everybody's benefit exept you!whats yo prob now?Mtu ameongelea appoel wewe unakuja kuleta matatizo yako for who's benefit?
Ungeanzisha uzi wako kuandika huo ujinga na najua kuwa ulikuwa hujui kuwa appoel ni ya Cyprus nimekufumbua macho tu dogo
Nimegundua kuwa wewe ni pungaHahahaa povu linakutoka,Kila mtu ana haki ya kuchangia humu kwa lugha nzuri uusinipangie nini cha kusema na wakati,well I ve brought it for my and everybody's benefit exept you!whats yo prob now?
apoel nicosia naifahamu ni timu inayotokea visiwa vya Cyprus vinavyopatikana Europe.
Usinipangie cha kusema wewe!
Tukana jingine ilo la kawaida sana hahaha.....Nimegundua kuwa wewe ni punga
Poa wifeTukana jingine ilo la kawaida sana hahaha.....
Bado una ujinga wa kutukana watu mitandaoni?ayo mambo ya kike.
Men up bro,kukimbilia matusi ni dalili ya kushindwa kwa hoja....[emoji23][emoji23]
Endelea kudhihirisha ulimbukeni wako hahaha....Poa wife