Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazee msaada nimedepost hela 1xbet imekwama wanamiomba screenshot ya msg na mm kipindi natuma nlitumia cm ndogo naombeni usaidiz kwa anayejua nafanyaje hapo?
 
a6b0735c2ac8c5fcc56e44f8ef9542c3.jpg


Ipo njema, ila wachina mimi sipatani nao, wamewahi kunipa hela mara moja tu.

Tuombe tutoboze hizi hela za lunch.
 
wazee msaada nimedepost hela 1xbet imekwama wanamiomba screenshot ya msg na mm kipindi natuma nlitumia cm ndogo naombeni usaidiz kwa anayejua nafanyaje hapo?
Ifungue hyo msg ya mpesa then itume kwe smart phone yoyote huko sasa unaweza screenshot
 
Acha tu mkuu, nabakia na wazee watatu wa Direct Win huko Europe league CSK MOSCOW, FENEBAHCHE na Panathinaikos..... Wengine presha tu. Bora Maccabi telaviv akiwa home anakaza na anatoa point nyingi na mwenzake Milano. Ila mienendo ya hizi za Spain haueleweki kabisa.


Wakorea leo natoka nao hivi....

Dongbu Promy vs Seoul 1 (IOT)

Icheon vs Gongay Total Points over 162.5

Odds: 2.2


Grau Z. Z. Rumisha koncho77


Won , aksante sana.
 


Mkuu aksante sana kwa kunipa wazo la game ya Dongbu Promy kuwa itakuwa na over 164, hakika wamekufuru vikapu karibia mia mbili.

Niliwachukua wakorea hao nikachanganya pamoja kwa over 165.5 na 163.5, hakika sasa napata lunch safi.

Wachina sinaga imani nao siku hizi
 
Back
Top Bottom