Leo Basketball Europe Madrid katembea na dunia, kashindwa kufikisha hata over 159.5!?
Hii ni mara ya Pili.
Nitakuwa naenda na Fenerbache, cska Moscow, Panathinaikos basi ndiyo wanaeleweka
[emoji2] [emoji2] ...😀😀😀 mzee wa application za kulipia
hii game ya Sydney unaionaje Mr??Vikapu nane vimeninyima hela ... wakuwalaumu ni hawa Anadou Efes ...wapuuzi sn. Quarter nzm wanacheza vikapu 14, 16 ...mxiuuuuu
![]()
Vikapu nane vimeninyima hela ... wakuwalaumu ni hawa Anadou Efes ...wapuuzi sn. Quarter nzm wanacheza vikapu 14, 16 ...mxiuuuuu
![]()
Acha tu mkuu, nabakia na wazee watatu wa Direct Win huko Europe league CSK MOSCOW, FENEBAHCHE na Panathinaikos..... Wengine presha tu. Bora Maccabi telaviv akiwa home anakaza na anatoa point nyingi na mwenzake Milano. Ila mienendo ya hizi za Spain haueleweki kabisa.
Wakorea leo natoka nao hivi....
Dongbu Promy vs Seoul 1 (IOT)
Icheon vs Gongay Total Points over 162.5
Odds: 2.2
Grau Z. Z. Rumisha koncho77
hii game ya Sydney unaionaje Mr??
ngoja nitembee na basket tu.Away to score - odds 1.27
Away to win either half - odds 1.63