Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msimu ule ulikuwa mzuri kweli. Ila siku hizi kazi imekuwa ngumu sana unaweza ukaweka single bet na ukapigwa. Msimu ule nilivuna sanaaa
kipindi hicho biashara ilikua bado haijashamiri wakati huo timu hazijaingiwa na ugonjwa wa kubeti
wakati huo bado tunasumbuana na meridian na server error
kipindi kile ukimdhamini madrid Barcelona Chelsea unajua tayari umesha kula hela. sasa sasahivi mara timu kubwa ifungwe mara leo itoke droo na kibonde yani tabu tupu
 
Unaziotea sana mkuu. Angalia Khanji asije aka hack account.
Mara moja moja mkuu
leo 20k nimeijaribu imeniletea 60k
sio mbaya japo ulikuwa kama utani tu maana niliikuta twitter watu wawili wanabishana ila mmojawapo kwa facts alizotumia niliamua kumfuata kwa 20k
 
Back
Top Bottom