Nitakuelekeza kwa mpesa
Ingia kwenye account yako alafu nenda kwenye my account alafu chagua deposit, then kwenye method of payment shuka adi vodacom mpesa. Alafu ingiza kiasi unachotaka kudepost(kisiwe chini ya sh 2000) alafu bonyeza confirm.
Itakuja form imeandikwa complete your payment, iache ivyo ivyo nenda ukafanye sasa malipo kwa mpesa.
Number ya kampuni ni 400700, kumbukumbu number andika 008 dusupay. Then kamilisha muamala wako(kiasi utakacholipia huku kiwe kile kile ulichoandika kule kweny account yako)
Utatumiwa msg ya mpesa kuonyesha umelipa kiasi fulani m lipa. Kwenye hiyo msg ya mpesa chukua izo no km izi 5AN714IOEP1
Rudi kwenye ile account yako ukajaze ile form. Andika majina yako(nafkiri majina yanayotakiwa ni yale uliyojisajilia mpesa), kwenye method of payment chagua mpesa, kwenye transaction Id andika zile namba ulizocopy kutoka kwenye ile msg ya mpesa(5AN714IOEP1), kwenye email sio lzm ujaze then bonyeza OK apo chini ya form.
Apo utakuwa umekamilisha malipo kacheki balane yako.