Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo vipi
fa2fe5c8853446c6e28a8f0d434b4166.jpg
 
d4e3407a10f1ced549e37dbaf9d4754c.jpg


WALIOONA BUTENEKE TIPS

KAZIYAKWANZA ISHAISHA

[HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
 
Wakuu huyu jamaa nimemkuta fb jana alitoa fixed match za bure leo anauza aisee
54ed44ca9591e7d24a04fa4020ad9fdd.jpg
21d3378c6f579e929cc4e233118fe6cb.jpg
 
Mkuu kuna ile NBA G-League (au Development League) ifuatilie pia. Baadhi ya timu wanatoa Over km hawana akili vzr. Wamenipa hela nzr tu jana na leo.

Aksante sana mkuu Kwa kushare nitafuatilia kikamilifu.... ..

Kuna Australia NBL

Hapa utamkuta Illawara Hawks- hawa ni wazee wa over na kuna Adelaide 36rs hawa ni wazee wa win first quarter, over points first quarter and total points.

Kuna Korea KBL

Hapa unamkuta Sonic Boom - over total points na Dongbu Promy wazee wa win hasa wakiwa away

Kuna Greece GBL

Kuna Lavrio, hawa ni wazee wa over.

Watupie macho pia
 
Mkuu ulifanikiwa kuwithdraw? Kama bado unachotakiwa kufanya reject hiyo bonus halafu toa mpunga kiulaini
Mkuu hii 1xbet bonus inapatikana vipi, maana sijawahi kupata bonus points hata siku moja na ninadeposit na kuwithdraw mara nyingi tu
 
Aksante sana mkuu Kwa kushare nitafuatilia kikamilifu.... ..

Kuna Australia NBL

Hapa utamkuta Illawara Hawks- hawa ni wazee wa over na kuna Adelaide 36rs hawa ni wazee wa win first quarter, over points first quarter and total points.

Kuna Korea KBL

Hapa unamkuta Sonic Boom - over total points na Dongbu Promy wazee wa win hasa wakiwa away

Kuna Greece GBL

Kuna Lavrio, hawa ni wazee wa over.

Watupie macho pia
Please mkuu basket wengne hatuielew uwe una share basi mkui.
 
Back
Top Bottom