Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Club Brugge - KV Oostende
Club Brugge and Over 1.5 goals

Dynamo Dresden - FC St. Pauli
1/X

Beitar Jerusalem - Hapoel Marmorek
Beitar Jerusalem

Al-Muharraq SC - Al Riffa
Al-Muharraq SC

PAS Giannina FC - Larissa
Under 1.5 goals HT

Racing Strasbourg - Lille Osc
1/X

Odds:
6.45
 
98%

Beitar Jerusalem v Hapoel Marmurek Over 2.5 goals
Cercle Brugge v Roeselare Match Result Cercle Brugge 1.4
Odense BK v Vejle Kolding Total Goals - Over 2.5 goals 1.4
Barcelona v Espanyol Total Goals - Over 2.5
Hii toa hao Waisrael, hlf ongeza Stake.

Waisrael hawaeleweki, tunalazimishaga tu.
 
nawaona hapa inplay stand united vs Ndanda. kama kuna mtu anaangalia anipe report nani anashambuliwa niweke mzigo
 
294a1c163e07f44eaefe3c8e6bc21ae0.jpg

BET WON !

39a6fc54dba98045a804509b11abd88c.jpg
 
Bikosports.co.tz kumbukumbu namba ni 101010

Unajitoa ufahamu au wewe ni Biko?

Mtu anaomba kumbukumbu namba ya Premier wewe unamtumia information za BIKO.

Kwa kifupi hao Biko ni wahuni tu, hlf waambie waache kutufowardia sms zao kila kukicha ni usumbufu. Wasitumie nguvu sana, kitu kizuri kitaonekana tu
 
Mkuu kuna ile NBA G-League (au Development League) ifuatilie pia. Baadhi ya timu wanatoa Over km hawana akili vzr. Wamenipa hela nzr tu jana na leo.

Kabisa mkuu! Kiasi flani wako vizuri. Hata wanaCanada kuna timu ziko nzuri!
 
Elekeza hapa basi ili nami ninufaike
Nitakuelekeza kwa mpesa
Ingia kwenye account yako alafu nenda kwenye my account alafu chagua deposit, then kwenye method of payment shuka adi vodacom mpesa. Alafu ingiza kiasi unachotaka kudepost(kisiwe chini ya sh 2000) alafu bonyeza confirm.
Itakuja form imeandikwa complete your payment, iache ivyo ivyo nenda ukafanye sasa malipo kwa mpesa.
Number ya kampuni ni 400700, kumbukumbu number andika 008 dusupay. Then kamilisha muamala wako(kiasi utakacholipia huku kiwe kile kile ulichoandika kule kweny account yako)
Utatumiwa msg ya mpesa kuonyesha umelipa kiasi fulani m lipa. Kwenye hiyo msg ya mpesa chukua izo no km izi 5AN714IOEP1
Rudi kwenye ile account yako ukajaze ile form. Andika majina yako(nafkiri majina yanayotakiwa ni yale uliyojisajilia mpesa), kwenye method of payment chagua mpesa, kwenye transaction Id andika zile namba ulizocopy kutoka kwenye ile msg ya mpesa(5AN714IOEP1), kwenye email sio lzm ujaze then bonyeza OK apo chini ya form.
Apo utakuwa umekamilisha malipo kacheki balane yako.
 
Safi sanaaa asante pia yaan sekunde tu hela yangu nimeiona big up
 
Back
Top Bottom