Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

feeeb473b37cdd9359c5a423753d9695.jpg

Walioona hizo mbili za juuu [HASHTAG]#woooooon[/HASHTAG]
Sijajua ya chini
 
f28381351cab967c47b7896f4de41b97.jpg

Wale wazeee wa 10 min X uhakika ni sanaaa... 100% sure..... wale wadau wa 10 min X uhakika ni sanaaa...... 100% sure
 
Mkuu wapumbavu kweli wale jamaa wamenichania kilo 3 zangu hapa kesho ingenoga sana
Mngese sana, yaani huyu anakula ban ya msimu mzima na namuombea afungwe kila game na asichukue ubingwa.

Wenzake wote wametoa over 1.5 kasoro yeye, wenzake 6 wametoa over 2.5 and GG lkn yeye anaambulia kigoli kimoja, kanikosesha odds 9 zangu
 
Daaah Bob hapa tulichange karata LA kesho tu tena...
 
Mpwa aksante sana ila nimeamua kujilipua kwa hawa Europe league.

Milano vs maccabi Total Points 169.5 over
Valencia vs khimki Total Points 157.5 over
Cska Moscow vs Brose total points 164.5 over
Fenerbache vs Barcelona total points 155.5 over

Total odds 15.23

Nimejilipua hivyo na Stake ndogo, potelea mbali.

Stake kubwa nitamsubiria Houston NBA Alfajiri

Ngoma ikivuma sana hupasuka, Europe league zingine zote zimetoa over 164.5 kasoro huyu aliyejipatia umaarufu sana CSKA... Sasa hapa kaninyima laki 2.

NEC nayo ni ngoma iliyovuma kama vile jana Barcelona.
 
Back
Top Bottom