Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoma ikivuma sana hupasuka, Europe league zingine zote zimetoa over 164.5 kasoro huyu aliyejipatia umaarufu sana CSKA... Sasa hapa kaninyima laki 2.

NEC nayo ni ngoma iliyovuma kama vile jana Barcelona.
Aiseeee mi mwenyewe niliufuata wataalam wa kikapu tupieni wa dharula nirudishe hata mtaji wkend yangu nzito balaa,hata odd2
 
NEC wameanza kubet nimeshawakimbia longy tokanimwone jamaa anatoamachozi kaweka nusumshahara anawin akapigwa 3-0 loh
 
Athletic Bilbao vs Eibar
Score: 1 - 1
Min: 88

Substitution!!
Athletic Club. Mikel Vesga[emoji651]️Markel Susaeta.[emoji652]️
Jaribu

2-1
 
Mbona game ya bet won kuna shetani anakufanya ustake hela ndogo..lakini ukiliwa stake mlima[emoji23]
 
6faf5be93e002b7ea4daee7695c3df17.jpg


CS MAN UNTD
ILIKUWA HAPAA MAPEMA
1HR AGO
WALIOJARIBU .WENGINE TUNAJARIBUGI ZOTE KWANEEMA TU
BLSD
 
over 1.5 inakosekanaje hapo unaeza hisi mechi imepagwa matokeo..
 

Attachments

  • Screenshot (119).png
    Screenshot (119).png
    15.2 KB · Views: 40
Back
Top Bottom