Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Walioona hizo mbili za juuu [HASHTAG]#woooooon[/HASHTAG]
Sijajua ya chini
 
Leo Man U nimemwambia aongoze kipindi cha kwanza, sasa nione maajabu yake maana hizi timu kubwa kubwa ni sawa na wanasiasa, hawaaminiki.
 
Wale wazeee wa 10 min X uhakika ni sanaaa... 100% sure..... wale wadau wa 10 min X uhakika ni sanaaa...... 100% sure
 
Mkuu wapumbavu kweli wale jamaa wamenichania kilo 3 zangu hapa kesho ingenoga sana
Mngese sana, yaani huyu anakula ban ya msimu mzima na namuombea afungwe kila game na asichukue ubingwa.

Wenzake wote wametoa over 1.5 kasoro yeye, wenzake 6 wametoa over 2.5 and GG lkn yeye anaambulia kigoli kimoja, kanikosesha odds 9 zangu
 
Daaah Bob hapa tulichange karata LA kesho tu tena...
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka, Europe league zingine zote zimetoa over 164.5 kasoro huyu aliyejipatia umaarufu sana CSKA... Sasa hapa kaninyima laki 2.

NEC nayo ni ngoma iliyovuma kama vile jana Barcelona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…