Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
We jamaa vp. Ulizia million kadhaa. Laki tano tu.Jamani naomba kujua yupo mtu aliyewahi shinda laki tano Hivi awake tiketi hapa tuione
liverpool ni kama Madrid , haitabiriki leo wanashinda mechi ngumu..kesho wanafungwa na kibondeARSENAL GG
LIV WIN
PORTO WIN
All HILAL WIN
95% SAFE
Lunch imepatikana apaView attachment 687482
[HASHTAG]#Kbl[/HASHTAG] wazee wa kikapu mnasemaje apa
Mi nahisi huwa wanabet kwa stake mlima kwa kujua mpinzani wao amewekewa odds zilizoshiba, basi wanafanya kila namna ili wafungwe. Yaani wanampa direct win mpinzani hata kwa kuuza nyumbaliverpool ni kama Madrid , haitabiriki leo wanashinda mechi ngumu..kesho wanafungwa na kibonde
Mashaka yako yametimia, naona game moja wameshindwa kufikisha 161 points wameishia 160.....just kikapu kimoja nimepoteza hela nzuri tuHao mkuu tungeweza kuwapa Over 160.5 ... lkn naona karibu Makampuni yote wameweka zaidi ya hapo. Nimepata kigugumizi ...
Chap ni kama ukishinda mkeka na sell odd iko hivyoivyo.MKUU HIV UKI CASH BACK KWENY 1XBET INACHUKUA MUDA GANI PESA KUSOMA KWENY ACCOUNT?.
Mkuu si utaziblack list timu zote?Shanghai Sipig ni stupid kweli, namblack list from today
UNGEBAKIZA HATA LOST MOJA UWE NA UCHUNGU WA KUTAFUTANimefuta yote niliyolost nimeacha won tu [emoji2] [emoji12]