Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa nn usitumie njia ya Push Message ...yani ni fasta hela inaingia kwa account. Hayo mambo ya Dusupay ni mlolongo ambao binafsi naona ni hectic.

Nenda kwenye Deposit, chagua Mobile Payment, weka amount, weka namba ya simu then Confirm.
Baada ya muda watakutumia ujumbe. Ukishafika tu huo ujumbe endelea na kudeposit kwa M-Pesa km kawaida (namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet).
Usifanye malipo kabla hiyo "Push Message" haijaja kwny simu yako.

That's all ... achana na mambo ya Dusupay.
Ahsante
 
491e3e78f63c36620cd4086402f257eb.jpg
Test Mitambo !
 
Wakuu nimeona leo nibadili gea angani. Eti yellow card moja ina BOOKING POINTS ngapi? Na, je red card ina points ngapi?
Yellow point 10, red point 15, yellow+red points 25, google kwa maelezo zaidi
 
Hello

Hivi others options like corners na mengineyo unayapata wapi ktk hii 1xbet?Leo nimeifungua
 
Back
Top Bottom