Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nba sure tips
Washington Wizards vs Oklahoma City Thunder
Over 212.5 Total Points
Houston Rockets vs Orlando Magic
Over 218.5 Total Points –
 
491e3e78f63c36620cd4086402f257eb.jpg
Test Mitambo !
mkeka umekaa poa sana.
 
Ngoja nijaribu kubana kende hapa ... lisipatikane goli dk 15 za kwanza ...

db00bbc1f093dc69583e7ff1148c588b.jpg

Safi sn ... real-time updates. Mkeka ushakuwa updated japo games zinaendelea. Inamaana ingekuwa won, ningeweza kuplace bet nyngne kwa faida iliyopatikana.

Hawa jamaa najikita huku mazima. Princessbet & Premierbet ntakuwa naenda kwa kunyapia nyapia tu.

1d2e6a93e711de426b1cab5c6c89202f.jpg
 
vipi kwa tigo pesa kudeposite ipo
 
Safi sn ... real-time updates. Mkeka ushakuwa updated japo games zinaendelea. Inamaana ingekuwa won, ningeweza kuplace bet nyngne kwa faida iliyopatikana.

Hawa jamaa najikita huku mazima. Princessbet & Premierbet ntakuwa naenda kwa kunyapia nyapia tu.

1d2e6a93e711de426b1cab5c6c89202f.jpg
Hao jamaa wako fasta sana yan
Hicho ndo nnachowapendea
Co mpaka game iishe yan kile ulichoweka
Kikibali tu mda huo huo salio lnasoma
 
Yan Atalanta wanakosa penalty Gomez
Kiaz sana dadek zake ngekuA nasubir gol moja nipate 3+ yao
 
I have a feeling Atlanta Leo kauza match sio team nayoijua hata corner moja mazeee na penalty wanamiss!!!
Aiseee acha kabsa Hawa waitaliano
Wamezd Sasa na kubet ***** zao

Sasa hapo juve hashambulii anapak
bus na hicho kigol chake kimoja
Jinga hzi
 
Aiseee acha kabsa Hawa waitaliano
Wamezd Sasa na kubet ***** zao

Sasa hapo juve hashambulii anapak
bus na hicho kigol chake kimoja
Jinga hzi
Na ndio match itakavoisha maana naona kabisa odd zinavopanda first half in play ilikuwa both team to score odd zilikuwa 1.75 na mda huo juve ana goal moja.
Imagine
 
Na ndo hapa sion over 2.5 kabsa
 
Back
Top Bottom