Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Waleemliolive

Liv NA westham wana corner ngap maana mitatu mhindi kashaukalia huu wamwisho nahisi anachukua sijui..nimewapa ov8.5 corner
 
Waleemliolive

Liv NA westham wana corner ngap maana mitatu mhindi kashaukalia huu wamwisho nahisi anachukua sijui..nimewapa ov8.5 corner
Liverpool wana 4 dk 65
West ham wana 6 dk 75
 
Every little helps brothers.
d5d3e76397eb969a32c986b29036828a.jpg
 
kweli arsenal wa kupiga corner 3 game nzima!!msenge acha akicheza na man u au chelsea uone anavyokaza
 
Back
Top Bottom