Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Hii option nzuri sana hasa kwa Epl kibonde akiwa nyumbani au timu zenye nguvu sawa
Yes ushauri wako ni mzuri ila tambua pia hakuna option ilio perfect uki chek mkeka nilio weka jana apa page kadhaa nyuma utaona ktk team 12 nilizo cheza nimepoteza 2 games ambazo moja ni Scotish wameshindwa toa over 2.5 game imeisha 0 - 2Wakuu, mimi mgeni kwenye hii thread.
Ila niwape tips tu msipende sana kucheza kubashiri matokeo ya soka yako very uncertain ni bora ucheze total goals scored like Under/Over 2.5 chances ni 50/50. Pia mimi I have been playing Basketball all over na napata sana. Mostly nacheza total team goals in the whole match or half time. Chekini my current betting trends;
Ni Kweli Ila Basketball ina nafuu mimi nilishaachaga kubet footballYes ushauri wako ni mzuri ila tambua pia hakuna option ilio perfect uki chek mkeka nilio weka jana apa page kadhaa nyuma utaona ktk team 12 nilizo cheza nimepoteza 2 games ambazo moja ni Scotish wameshindwa toa over 2.5 game imeisha 0 - 2
Game ya pili ni hao Crusaders walio ruhusu goal ktk lango lao dakika za majeruhi..
Pia weng walipoteza game ya juve kwa kucheza magoal kilicho tokea nazan n maumiv heri yang niliona Dc ina wafaa as well Handcup +1
...
Ki kubwa uwe una SHARE tu tips kama kaka mkubwa Pdidy aka Basiasi hakika kanjih atarud kwao Bombay
Anaitwa nan jinawadau mum follow huyu jamaa facebook Ht Ft yupo vizur aisee.
Mkuu stake unazoweka duh!Wakuu, mimi mgeni kwenye hii thread.
Ila niwape tips tu msipende sana kucheza kubashiri matokeo ya soka yako very uncertain ni bora ucheze total goals scored like Under/Over 2.5 chances ni 50/50. Pia mimi I have been playing Basketball all over na napata sana. Mostly nacheza total team goals in the whole match or half time. Chekini my current betting trends;
Anajilipua co mchezo jamaaMkuu stake unazoweka duh!
Hii unaipataje kakaHii ni moja ya nilicho ki experienced 1xbet unapo beti timu mbili, huo mkeka unaitwa Lucky bet, timu moja inapo poteza kuna kiasi unapata.