Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Any Bank provided ni VISA card na ina internet bank> Mimi natumia Standard Chartered Bank na CRDB BANK PLC
Mkuu crdb ni mpka u activate online payment ama imekaaje maana ilinishinda ku activate baada ya wao kuntumia sms

Natumia Mastercard
 
f607c4bdcdf165e3ec5049462f3e1d5a.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vp mkuu ungejitungua jana aisee Nabii tito to score goal [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vp mkuu ungejitungua jana aisee Nabii tito to score goal [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alaf alikua na odds ya 23
Imagine ngestek 10 tu leo
Nsingeenda job
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alaf alikua na odds ya 23
Imagine ngestek 10 tu leo
Nsingeenda job
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah mkuu kumbe unapga job naomba uniajr bac npate mshahara wa kumpga mhind kwa odds 23 za nabii tito.
 
kama kawaida ALWAYS, I repeat again ALWAYS do an immediate withdraw when you win. It takes an absolute luck to win so do not get tempted to play big sums rather just do what is needed most >>> WITHDRAW.

Temptation balaa, yaani wakati mwingine ni bora kuwithdraw na kutumia hapo hapo, km una deni unarusha kupunguza deni, km una mchango au matumizi unarusha kupunguza deni nk
 
Yes ushauri wako ni mzuri ila tambua pia hakuna option ilio perfect uki chek mkeka nilio weka jana apa page kadhaa nyuma utaona ktk team 12 nilizo cheza nimepoteza 2 games ambazo moja ni Scotish wameshindwa toa over 2.5 game imeisha 0 - 2
Game ya pili ni hao Crusaders walio ruhusu goal ktk lango lao dakika za majeruhi..

Pia weng walipoteza game ya juve kwa kucheza magoal kilicho tokea nazan n maumiv heri yang niliona Dc ina wafaa as well Handcup +1

...

Ki kubwa uwe una SHARE tu tips kama kaka mkubwa Pdidy aka Basiasi hakika kanjih atarud kwao Bombay


Yaani waliokuliza wewe ndiyo walioniliza mimi jana , fukc wabeba msalaba wa Northern Ireland.

Juzi pia jamaa wa Ireland kaniliza pia
 
Back
Top Bottom