Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Wadau nime post mkeka humu ushaurii Basi mbona kama tunatengana
kuna option inaitwa sell bet utapewa kulingana na sell price iliyopoUkitaka ku cash out kweny 1xbet una chagua option gani?
ni voda na airtel tuNimekusoma mkuu ina maana unaweza kutumia namba ya tigo kuweka mzigo au ni voda
Hivi jpm anajua watu wako series kwenye uwekezaji
It was just for fun mzee.. sikua serious kiivo.Jaslaws
Bett jus for a fun and not as job!!hii itakusaidia hata ukiliwa kutokuumia...Betting iwe kama part of refreshment
Haha man u mbona anakufa mapema..mancity wala sina shida nae game ya Leo anakufa pale pale kwake!!Mkeka wako hasa anaekuja kuuchana ni Man Utd halafu anafuata man city
😀 😀 😀 utakuja kutuletea kilio hapa lakini 😛Haha man u mbona anakufa mapema..mancity wala sina shida nae game ya Leo anakufa pale pale kwake!!
Hiyo man city inaonesha kama X/1Dah jamaa anaanza kuuza sijui?![]()
Dah jamaa anaanza kuuza sijui?![]()
Alafu kweliHizo zote ni 1/1