Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hebu chungukieni perfet ya leo wadau kwa wenye uwezo wa kuchambua kupoteza buku huku ukitafuta mamilioni tunasema hiyo ni ajali kazini
 
Wadau nina shida na odds 2+ tu niweke mzigo wa maan
Cc deeppond, Mr wise,koncho77,buddy,pdiddy
 
Nataka ku deposit 1x bet bila dusupay....naombeni procedures au namba yao ya kampuni
 
hebu chungukieni perfet ya leo wadau kwa wenye uwezo wa kuchambua kupoteza buku huku ukitafuta mamilioni tunasema hiyo ni ajali kazini
AC MILAN
X
DRAW
EVERTON
1
WIN
NEWCASTLE
X
DRAW
STOKE CITY
1
WIN
LEGANES
1
WIN
TOTTENHAM
2
LOSE
ENPPI
2
LOSE
BOAVISTA
1
WIN
AJAX CAPE TOWN
X
DRAW
STANDARD LIEGE
2
LOSE
FEYENOORD
X
DRAW
CHAVES
1
WIN

Nimekosa muda wa kuzichambua ila ningecheza ivyo
 
Hakikisha unapotaka ku top Up uki click mtandao husika ikuletee kias pamoja na kujaza namba ya sim kama ivi

Ambapo uta weka iyo namba yako yenye pesa kisha wao wata kutumia
Push message ya kukamilisha muamala

Ukiona inaleta amount tu i cancell kisha rudia tena mpka ikuonesha kama apo juu
 
Nataka ku deposit 1x bet bila dusupay....naombeni procedures au namba yao ya kampuni
login
bonyeza deposit
chagua mtandao eg voda/airtel e.t.
weka kiasi
weka namba ya simu
confirm
wait for the push sms to be sent to your phone
kisha fuata hatua za kawaida za kulipa kwa m pesa
namba ya kampuni 400700
kumbu namba 0081bet
nb usiingize hizo namba kama hujatumiwa push sms kweny simu yako
 
Kwangu inakataa inasema number incorrect
 
Kwangu inakataa inasema number incorrect
 
moyes je ni lazima line ya simu yenye pesa iwe hewani muda huo.?Na dusupay je nako lazima simu iwe hewani?
 
moyes je ni lazima line ya simu yenye pesa iwe hewani muda huo.?Na dusupay je nako lazima simu iwe hewani?
yes kwasbb utahitaji kudeposit mara utakapo tumiwa ujumbe

dusu wao wanakwambia ni within 3 minutes uwe umekamilisha procedures zote
 
yes kwasbb utahitaji kudeposit mara utakapo tumiwa ujumbe

dusu wao wanakwambia ni within 3 minutes uwe umekamilisha procedures zote
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…