Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

f3323358ecb6e0f3998c9a30b4fb8406.jpg

Dah Ajax kashazingua, huu mkeka nilikuwa nautegemea sana aseeeh.

Basi tena.
 
DeepPond alideposit atupe mrejesho....tatzo cjawahi tumia line ya vodacom ktk maisha yangu aisee
kumbe ni matatizo ya mtandao wenyewe sasa kama jamaa alivyo sema hapo juu
huwez anza pricess za kulipia wakat hujatumiwa sms na hata kama imo kwenye modem meseji zikiingia bado unao uwezo wa kuzisoma na kuendelea na hatua nyingine
 
Ok, nielekeze iyo ya dusupay sasa
 
Dah Ajax kashazingua, huu mkeka nilikuwa nautegemea sana aseeeh.

Basi tena.

Acha kbs Chief ... hii option on paper inaonekana inawezekana kwa asilimia nyng kumbe nayo ni shida tu !
 
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?
Process zianzie kweny Pc kisha wakutumie iyo Push message ndo utoe line uko kweny modem u kamilishe malipo sasa
 
yes kwasbb utahitaji kudeposit mara utakapo tumiwa ujumbe

dusu wao wanakwambia ni within 3 minutes uwe umekamilisha procedures zote
Hapana mkuu, sio within three min uwe umekamilisha ni within 3min muamala unasoma kwenye akaunti. Nilishawahi kutuma tigo wakachelewesha meseji ya malipo mpaka nilipo wapigia, nikaja kukamilisha baada ya masaa kama 5
 
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?

Hapana, ukitaka usipate shida kudeposit 1xbet ...anza procedure za kudeposit kwny 1xbet then subiri mpk hiyo Push message ikufikie ndio ulipie kwa simu.

Ni km kwenye Premierbet, unaanza kwnza kuweka na kuconfirm kwny Premierbet ili upate Transaction ID kabla ya kufanya malipo kwa M-Pesa ama Tigopesa.

Important: You MUST wait until you receive the "push message" before you do payment.
 
Mkuu we namba una iandikaje maana mm kupitia iyo iyo njia hua naweza kulipa kwa M pesa ama Tigo pesa kikubwa ni ile format kama nilivo tuma scrnshot ndo ionekane

Sidhani kama nimekosea kuiandika namba huu ni mfano wa namna navyoiandika
+255787111234 , Labda je kosa liko wapi kwa hapo?
 
Hapana mkuu, sio within three min uwe umekamilisha ni within 3min muamala unasoma kwenye akaunti. Nilishawahi kutuma tigo wakachelewesha meseji ya malipo mpaka nilipo wapigia, nikaja kukamilisha baada ya masaa kama 5
sante kwa masahihisho
mhelekeze mr wise njia ya dusu pay
 
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?

Hapana, ukitaka usipate shida kudeposit 1xbet ...anza procedure za kudeposit kwny 1xbet then subiri mpk hiyo Push message ikufikie ndio ulipie kwa simu.

Ni km kwenye Premierbet, unaanza kwnza kuweka na kuconfirm kwny Premierbet ili upate Transaction ID kabla ya kufanya malipo kwa M-Pesa ama Tigopesa.

Important: You MUST wait until you receive the "push message" before you do payment.
 
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?

Hapana, ukitaka usipate shida kudeposit 1xbet ...anza procedure za kudeposit kwny 1xbet then subiri mpk hiyo Push message ikufikie ndio ulipie kwa simu.

Ni km kwenye Premierbet, unaanza kwnza kuweka na kuconfirm kwny Premierbet ili upate Transaction ID kabla ya kufanya malipo kwa M-Pesa ama Tigopesa.

Important: You MUST wait until you receive the "push message" before you do payment.
 
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?

Hapana, ukitaka usipate shida kudeposit 1xbet ...anza procedure za kudeposit kwny 1xbet then subiri mpk hiyo Push message ikufikie ndio ulipie kwa simu.

Ni km kwenye Premierbet, unaanza kwnza kuweka na kuconfirm kwny Premierbet ili upate Transaction ID kabla ya kufanya malipo kwa M-Pesa ama Tigopesa.

Important: You MUST wait until you receive the "push message" before you do payment.
 
Sidhani kama nimekosea kuiandika namba huu ni mfano wa namna navyoiandika
+255787111234 , Labda je kosa liko wapi kwa hapo?
Iko okay ila kuna mdau apo Omerta ameeleza kuwah patwa na tatizo la kushindwa kudeposit kupitia Airtel nakumbuka na DeepPond nae alkua na same prob (airtel) sijui wali tatua vipi
Huo mtandao utakua na shida bila shaka
 
Back
Top Bottom