Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Iko okay ila kuna mdau apo Omerta ameeleza kuwah patwa na tatizo la kushindwa kudeposit kupitia Airtel nakumbuka na DeepPond nae alkua na same prob (airtel) sijui wali tatua vipi
Huo mtandao utakua na shida bila shaka
Je dusupay ina same procedures?
 
Hapana procedures zinautofaut kidogo wao una letewa kias una confirm kisha wana kupeleka kweny
Mobile payment system ambapo utachagua Tz kisha mtandao wa sim watakupa procedures za kufanya kweny sim yako kisha utarud tena ku complete transaction sasa hii hutakiw ku complete kabla huja maliza process za kweny simu

Hii njia niliwahi itumia mara moja kwa tigo pesa na nili fanikiwa mda huo huo ila baada ya kuona wadau weng walio kua wana leta matatzo yalkua n kupitia hao dusupay ivo siitumii tena njia hyo

Nime jikita kwenye hii ya Push massage ambayo ni rahis na haraka!!
 
Lukaku atafunga moja la kichwa na gme kuisha 0-1....ha ha ha am joking
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mhind mjanja sana aiseeee ametupa
mpaka 10mn lkn jtu lnafunga
gol dk ya 3 kama juve Jana
Na game inaisha hvo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Iko okay ila kuna mdau apo Omerta ameeleza kuwah patwa na tatizo la kushindwa kudeposit kupitia Airtel nakumbuka na DeepPond nae alkua na same prob (airtel) sijui wali tatua vipi
Huo mtandao utakua na shida bila shaka

Kweli mkuu huwa nikiingiza namba ya Airtel naambiwa incorrectly entry ya namba.... Lkn kwa mpesa huwa inakubali vizuri
 
Hapana procedures zinautofaut kidogo wao una letewa kias una confirm kisha wana kupeleka kweny
Mobile payment system ambapo utachagua Tz kisha mtandao wa sim watakupa procedures za kufanya kweny sim yako kisha utarud tena ku complete transaction sasa hii hutakiw ku complete kabla huja maliza process za kweny simu

Hii njia niliwahi itumia mara moja kwa tigo pesa na nili fanikiwa mda huo huo ila baada ya kuona wadau weng walio kua wana leta matatzo yalkua n kupitia hao dusupay ivo siitumii tena njia hyo

Nime jikita kwenye hii ya Push massage ambayo ni rahis na haraka!!
Twende taratibu na hii
 
Hv kwann makampuny ya Tanzania kudepost hua wanakua na mzungu ko

Mrefu kias hcho me mpaka wananiboaga Mkekabet tu ndo

Hua wako sample kuweka na kutoa
Ila haya mengne n usumbufu
mtupu

Wajarbu kuiga wenzao kama
Kenya kudepost na kutoa n kama

Kumtumia mtu pesa dk moja tu
Ktu kimesoma af hakuna longolongo
Yoyote yan

Kama Ku withdraw hua n SC 20 tu
Umepata chako
 
Fenerbahce Mamaeeeeeeeeeeeee yaan unaelekea kuchana mkeka wang hvhv.
 
Hv kwann makampuny ya Tanzania kudepost hua wanakua na mzungu ko

Mrefu kias hcho me mpaka wananiboaga Mkekabet tu ndo

Hua wako sample kuweka na kutoa
Ila haya mengne n usumbufu
mtupu

Wajarbu kuiga wenzao kama
Kenya kudepost na kutoa n kama

Kumtumia mtu pesa dk moja tu
Ktu kimesoma af hakuna longolongo
Yoyote yan

Kama Ku withdraw hua n SC 20 tu
Umepata chako
Umewasahau Princess mkuu
 
Tottenham Hotspur - Manchester Utd
Yes GG
1.60

Everton FC - Leicester City
Over 1.5 goals
1.42

Odds 2.27
 
Back
Top Bottom