Airtel imekuwa ikisumbua hivyo muda wote toka nijiunge 1xbet. Kila nikiweka namba yangu ya Airtel inagoma.kwahiyo natumia Voda tuNatumia airtel
DeepPond alideposit atupe mrejesho....tatzo cjawahi tumia line ya vodacom ktk maisha yangu aiseeAirtel imekuwa ikisumbua hivyo muda wote toka nijiunge 1xbet. Kila nikiweka namba yangu ya Airtel inagoma.kwahiyo natumia Voda tu
kumbe ni matatizo ya mtandao wenyewe sasa kama jamaa alivyo sema hapo juuDeepPond alideposit atupe mrejesho....tatzo cjawahi tumia line ya vodacom ktk maisha yangu aisee
hesabu pesa mfukoni labda watoke suluhu
Natest hii option
Ok, nielekeze iyo ya dusupay sasakumbe ni matatizo ya mtandao wenyewe sasa kama jamaa alivyo sema hapo juu
huwez anza pricess za kulipia wakat hujatumiwa sms na hata kama imo kwenye modem meseji zikiingia bado unao uwezo wa kuzisoma na kuendelea na hatua nyingine
Dah Ajax kashazingua, huu mkeka nilikuwa nautegemea sana aseeeh.
Basi tena.
Mkuu we namba una iandikaje maana mm kupitia iyo iyo njia hua naweza kulipa kwa M pesa ama Tigo pesa kikubwa ni ile format kama nilivo tuma scrnshot ndo ionekaneNdivyo nilivyoweka ila inajibu "Phone number entered incorrectly!"
Natumia airtel
Process zianzie kweny Pc kisha wakutumie iyo Push message ndo utoe line uko kweny modem u kamilishe malipo sasaSasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?
Hapana mkuu, sio within three min uwe umekamilisha ni within 3min muamala unasoma kwenye akaunti. Nilishawahi kutuma tigo wakachelewesha meseji ya malipo mpaka nilipo wapigia, nikaja kukamilisha baada ya masaa kama 5yes kwasbb utahitaji kudeposit mara utakapo tumiwa ujumbe
dusu wao wanakwambia ni within 3 minutes uwe umekamilisha procedures zote
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?
Mkuu we namba una iandikaje maana mm kupitia iyo iyo njia hua naweza kulipa kwa M pesa ama Tigo pesa kikubwa ni ile format kama nilivo tuma scrnshot ndo ionekane
sante kwa masahihishoHapana mkuu, sio within three min uwe umekamilisha ni within 3min muamala unasoma kwenye akaunti. Nilishawahi kutuma tigo wakachelewesha meseji ya malipo mpaka nilipo wapigia, nikaja kukamilisha baada ya masaa kama 5
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?
Sasa tatzo natumia PC na line nayotaka kutumia ndio hii nimeiweka kwenye modem, Je siwezi kuanza procedure za kutuma pesa kabla sijaiweka kwenye modem kisha nikimaliza niiweke kwenye modem na kuingia online kumaliza procedures kama wafanyavyo PMbet?
Iko okay ila kuna mdau apo Omerta ameeleza kuwah patwa na tatizo la kushindwa kudeposit kupitia Airtel nakumbuka na DeepPond nae alkua na same prob (airtel) sijui wali tatua vipiSidhani kama nimekosea kuiandika namba huu ni mfano wa namna navyoiandika
+255787111234 , Labda je kosa liko wapi kwa hapo?