sio mbaya mkuu kesho nayo siku niliweka hela nying San huu mkekaMan U ooovyooooo wameua hiz Odds za uhakika kabisa, pamoja na kuwapa goli mbili
Dhaaaaaaaa mbwa kabsa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti vikombe vya mbuzi
Mkuu tangia 1Xbet walivyoingia humu watu wamepoteana sana....ile ari ya kumpiga Mhindi imeshuka maradufu....as watu hawana direction mojaaWakuu,
Habar za Siku nyingi
Nmewamiss sana wapambanaji wenzangu
WALIOFWATA HT X
AC MILLAN
SUPU IMEANZA...
FT X
CS 0-0
WALIOFWATAWALIOFWATA HT X
AC MILLAN
SUPU IMEANZA...
FT X
CS 0-0
View attachment 688240 kama una buku halina kazi tia hapa upate 190k
Wap siku hiz bhan hat hatujukiani khariWakuu,
Habar za Siku nyingi
Nmewamiss sana wapambanaji wenzangu
Watu wameamua kua flexible zaidiMkuu tangia 1Xbet walivyoingia humu watu wamepoteana sana....ile ari ya kumpiga Mhindi imeshuka maradufu....as watu hawana direction mojaa
Niko safari mkuu,sijapata wasaa wa kutuliaWap siku hiz bhan hat hatujukiani khari
Yaaan ni kwel kak mm niko x bet tu bongo shafuta zoote yaaan hawa jamaa wanaoption kibao saan mpak zingine hata unashidwa kuzielewaWatu wameamua kua flexible zaidi
Maana kule kuna nafuu sn ya kupga ela kwa in play coz option ni nyng mno.
Ila naamini bado umoja upo, kikubwa ni wote tuwe team moja.
Angalau kila mtu awe na account ya dharura kule.
Ili mambo yakienda kombo iko kwngn.
Unazama 1xbet kukomboa mtaji kwa tips za in play.
Maana kule unaezabet vitu kibao
Kuanzia ushindi wa kawaida,handicap,corner, foul,substititution,own goal,goal by kicking, hatrick,braces,shots on target, goal kick, yellow card na mambo mengi sana.
Ambayo ni adim kupata kwngn.
HII INASAIDIA KUA NA UWANJA MPANA KUMLA MUHINDI