Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkakati kama huu unatakiwa uutengenezee akaunti yake mahususi kabisa
 



BET WON !


 
Mkakati kama huu unatakiwa uutengenezee akaunti yake mahususi kabisa


Kweli Chief ... huu mkakati unatakiwa udeposit hela separate ambayo hata ikija kubuma hautajuta. Maana unaweza ukafika day 10 halafu ukaweka stake yote akapita nayo.
 
Mambo km haya ndio yanayonifanya niwaone 1xbet bora zaidi ya wengine ... mechi zimeisha dk 15 zilizopita lkn betslip mpk saiv haijawa updated. Ningewithdraw faida then niende InPlay na wachina ... lkn ndo mpk waamue wao ku-update, mxiuuuuu


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…