Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting Family
Nimejiunga 1x Bet leo na nimefanikiwa kudeposit stake na imesoma haraka tu..
Naomba msaada wa process ya kuwithdraw...
Inachukua muda gani ukiwithdraw pesa kuingia kwenye tigopesa na how do I request for a withdrawal
Thanks wapambanaji wenzangu
Within 3 min mpunga unasoma ku withdraw
 
dae1978dafb60620545715b9974abd53.jpg
Wakwanza katick nilmsubir inplay odds zikapanda nkapga stake.
 
b86375442befdf7c2676dc7486ffd328.jpg


Ice hockey leo. Stake high

nimecheza kwa muda hockey, tennis na basketball nimeona ina high probability ya kushinda kuliko soka.

Nimeamua kuamasisha watu wacheze hii michezo zaidi kuliko soka, nawaambia hamtajuta.

Kila siku nitakuwa naleta mikeka ambayo nimeshaifanyia uchambuzi nikipata nafasi.

Pamoja sana.
 
Back
Top Bottom