Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Week hii nitakaa sub kwanza kuvuta nguvu mpya baada ya khanji kuninyoosha vyema kabisa hapo jana.
 
2b934a970f3a84825633e2ddd2f941cc.jpg
Kiongoz vip unaweza toa darasa kuhus tenes wengine huo mchez hatuufaham kabisa
 
b86375442befdf7c2676dc7486ffd328.jpg


Ice hockey leo. Stake high

nimecheza kwa muda hockey, tennis na basketball nimeona ina high probability ya kushinda kuliko soka.

Nimeamua kuamasisha watu wacheze hii michezo zaidi kuliko soka, nawaambia hamtajuta.

Kila siku nitakuwa naleta mikeka ambayo nimeshaifanyia uchambuzi nikipata nafasi.

Pamoja sana.
mzee mm nkishaonaga direct win kwenye basket na hockey hua nageuza maana ni hatari kwa afya yako
 
d5254e6804bcae9152ea6ed0341a83de.jpg


Hii ni mechi ya Europe champions league basket

Itafute kwenye search engine ya kampuni yako Barca anashinda 99%
 
47dc7025378c66794807dff7ed84126f.jpg


Nataka nitupie basketball leo hizi options sijazielewa wadau naomba mtu anieleweshi hapa


89054c5a0112e48a0929a6abcca7274e.jpg
 
Mkuu umeanza kwanza kudeposit kwa 1xbet au umeanza na tigopesa/m-pesa??


Iko hivi:

i. Unaanza process kwny 1xbet account (unaweka amount & namba ya simu, then unaconfirm). Then watakutumia "Push message"
ii. Ukishapata push message ndio uanze kulipia kwa simu. Usilipe kabla hujapata push message.
iii. Namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet.
iv. Weka amount uliyoiweka kwny 1xbet. Amount ikitofautiana na ya awali uliyospecify kwa 1xbet account, transaction haitakuwa processed.

Cc Mr. Wise
Mkuu nimejaribu kwa namba ya tigo inaleta same message kua "Phone number entered incorrectly!"
 
Back
Top Bottom