Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa vikombe vya mbuzi hukomi?
Yesu na Maria[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kumbe barca n kumbe la mfalme

Cna ham tena
 
Sana, kuna muda ili ufanikiwe lazima ujitoe kafara (sio kutoa kafara).. Uwoga unatakiwa uweke pembeni
Alikuwa na odds 14 nikataka nishuke stake roho ikawa inasema shuka stake mwili ndio ukagoma na sio roho aisee.
 
Mkuu hv vikombe vya mbuz
Hua wanaweka kikos b
Maana katka first 11 unakuta wachezaj
Wa 4 alaf hao wengine wote n
2nd 11
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ambao ndio wakiingia uwanjan ni kukata mauno tu kama kina Nabii Tito [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alikuwa na odds 14 nikataka nishuke stake roho ikawa inasema shuka stake mwili ndio ukagoma na sio roho aisee.
Dah... Ilikuwa bonge moja la bingo... mm nimeicheza inplay ya gg&3+
 
Kuna mdau alisema hawa 1x wana poor customer service now nimeamini, jamaa kajibu hold on mpaka sasa zimepita two hours
 
Apo baada ya ku deposit inge bid u apply Koncho style una deposit kisha una withdraw apo apo
[emoji23] [emoji23]
 
galatasaray mazafanta unasawazishiawa dk ya tisin ameninyima hela ya supu pumbavuuu kbsa
 



Day 1 naona imeenda vzr Chief ... Hi Jo ametishaa. Ngoja tusubiri kesho, Day 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…