Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Euroleague Basketball

Fenerbache alifikisha mpaka odds 9.5, sasa naona zimeshuka mpaka 4.... Kama hutajali kurisk, mpe win Fenerbache atashinda naamini
 
d69c7e0d4aac2865d300f51107481cd8.jpg
Ili limchiz linatafuta kick kwa guta eti mech imesha anza nio linaweka 1/1 pumbuafu kabisa
 
Kuna mdau alisema hawa 1x wana poor customer service now nimeamini, jamaa kajibu hold on mpaka sasa zimepita two hours
hawa jamaa ni wajinga sana nilipoteza 1500 yangu nikafanya mawasiliana response yao ni zero kabisa.
 
Under 216 Total Points – San Antonio Spurs vs Houston Rockets
Over 210 Total Points – Denver Nuggets vs Oklahoma City Thunder
 
League:-Brazil
Match:-Urt MG vs Parana Clube PR
Tip:-X HT
Time:-22:15
 
Back
Top Bottom