Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Au dk ya 4 SC 50
Na valencia ndio alichanaga mkeka wangu aiseee nilichanganyikiwa alafu ndio alkuwa kabaki yeye tu.
 
Kama mm juz juve na Atalanta
Aiseee nlihis kupotea njiaa
Mi niya 5 mins lakn ni presha tupu ndan ya dakika 1 au 4 goal [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bp inaweza panda aiseee.
 
Manisaspor vs Gaziantepspor
Score: 1 - 0
Min: 2

⚽ Goal!!
Manisaspor


1.30
OV2.5
UMEIACHAJE KWANZA
 
Mi niya 5 mins lakn ni presha tupu ndan ya dakika 1 au 4 goal [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bp inaweza panda aiseee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii kaz n ngumu sana
 
Nipe hizo mbinu sasa
mbinu ni kuepuka tamaa ya kula hela nyingi..vaa macho ya uhalisia..kubali kwamba deportivo ni vibonde kwa sociedad..HVO mkatae deportivo..ikitokea deportivo kashinda au kadroo..watukane wachezaji wa sociedad na andaa mkeka mwingine
 
wadau 1xbet mechi za siku mnafanyaje ili zote ziwepo kwenye ukurasa wa mbele zote bila kuanza kuzisaka moja moja kwenye nchi.
 
Manisaspor vs Gaziantepspor
Score: 2 - 0
Min: 4

⚽ Goal!!
Manisaspor

OV 3.5--1.40ODDS
UMEIACHAE KWANZA
 
macho wapi..we unajua uwezo wa botafogo?..wachezaji majeruhi!?
Book makers sometimes skips some vital info. Wao wanachoangalia ni past records. Kuna siku niliwahi kubet timu ya chapecoense matokeo yalionesha kuwa wangeshinda na wakati miezi mitatu iliyopita walikuwa wamedondoka na ndege na wachezaji kibao kufariki. Baada ya ile match, jamaa walilose game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…