Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yani majuto yanakujaga wakati mkeka ushachanika. Hata juzi Milan/Lazio niliwaomba Over 1.5 wakanichania mkeka nikiwa nawasubiri wao tu nivute hela. Baadae nikajilaumu kwa nini sikucheza corners wkt 1xbet wana hadi over 6.5 corners ...

Hii biashara unaweza hisi kuna nguvu za giza ndani yake hakyanani.

Mkeka huu ... Cc asrams


8c8256588237fd1c913d2e4df7eefe49.jpg
 
WALE WA ROLLIVERDAY ONE

[HASHTAG]#wooooon[/HASHTAG]
ODDS 1.30

*‍✈HIJO‍✈*

*1.30 ROLLOVER DAY 1*

*TURKEY*
Turkiye Kupasi
_Atiker Konyaspor 1922 - Galatasaray_
*Over (1.5) 1.30*✅


*Welkum2FEBRUARY*



Mkuu Pdidy, vipi leo Day 2 ... zamu ya OLAYOUNG, bado hajaleta tip yake?
 
Dogo kubeti raha sana kama unajua jinsi ya kubet.

Wanaokosa Pesa ya kubet ni wale wanaopenda washinde Pesa nyingi.

Ila unapobet 5,000/= usipende ushinde mamilioni. Ichezeshe kwenye team chache ili ushinde hata laki moja tu.
Hutajutia kubet.

Lakini ukipenda nyingi Pesa nyingi huwezi kushinda kamwe.

Nakuhakikishia, nikibet mikeka 3 sikosi hata mmoja.
Tena Mimi nabet online. Sihitaji kwenye foleni. Huwa nikitoka job nikijifungia ndani na kubet.

Kweli kabisa naamini ukishakuwa member Wa kubet, kuacha hutaweza kirahisi.
 
Back
Top Bottom