Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

4f5a73b3cbf3785060bbf3f5753e4c05.jpg


Naomba niwatakie ucku mwema
Kama uliitikia salamu yangu... Basi hakika Mungu aliubariki usiku wako na usingizi ukawa mzuri
 
Achana nao mkuu sio mzuri kabisa.wanaoucheza wanatamani kuuacha wanashindwa.
 
Hawa barca Leo wamekula sijui nini


Wapuuzi sn ... jana nilienda kulala mida ya saa 5 ksr hv nikiwa na uhakika wa at least 90% asbh nitaamka na hela, lkn walichokifanya na kagoli kao ka ngama ... daaah ! kipindi cha kwanza wakaenda kavu kavu

upload_2018-2-2_9-12-29.png
 
Mkuu umeanza kwanza kudeposit kwa 1xbet au umeanza na tigopesa/m-pesa??


Iko hivi:

i. Unaanza process kwny 1xbet account (unaweka amount & namba ya simu, then unaconfirm). Then watakutumia "Push message"
ii. Ukishapata push message ndio uanze kulipia kwa simu. Usilipe kabla hujapata push message.
iii. Namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet.
iv. Weka amount uliyoiweka kwny 1xbet. Amount ikitofautiana na ya awali uliyospecify kwa 1xbet account, transaction haitakuwa processed.

Cc Mr. Wise
Hatimaye kwa tigo siku ya leo imekubali...
 
Wapuuzi sn ... jana nilienda kulala mida ya saa 5 ksr hv nikiwa na uhakika wa at least 90% asbh nitaamka na hela, lkn walichokifanya na kagoli kao ka ngama ... daaah ! kipindi cha kwanza wakaenda kavu kavu

View attachment 689135
Ndomana nikaenda ktk corners, lakini mtaji na faida ulisepa na NBA
 
Habari ya siku @depond, ule mkeka Jana uliotupia Barcelona option ya faulo vipi ulitick?
 
Habari ya siku @depond, ule mkeka Jana uliotupia Barcelona option ya faulo vipi ulitick?
 
Ndomana nikaenda ktk corners, lakini mtaji na faida ulisepa na NBA



Yani majuto yanakujaga wakati mkeka ushachanika. Hata juzi Milan/Lazio niliwaomba Over 1.5 wakanichania mkeka nikiwa nawasubiri wao tu nivute hela. Baadae nikajilaumu kwa nini sikucheza corners wkt 1xbet wana hadi over 6.5 corners ...

Hii biashara unaweza hisi kuna nguvu za giza ndani yake hakyanani.
 
Back
Top Bottom