farah hassan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 492
- 370
Leo kudeposit 1xbet kwa voda inakubali faster,. Na ile mihamala ya jana naona msg za voda zinarud leo sasa tatizo ni kwa MLIPA hawajawah nijib msg yangu hata siku mojaWakuu ttzo la jana kudeposit kwa m-pesa bado lipo?
Mkuu bonus ya 1xbet ukitaka kubetiaKuna 1.3 odd niliongezea asubuhi sasa imepanda hadi 1.8 na game ijaanza..player ako injured ama uchawi[emoji33]
Mie wamenirudishia SMS ila pesa kweny acc haujaingia msaada pleaseLeo kudeposit 1xbet kwa voda inakubali faster,. Na ile mihamala ya jana naona msg za voda zinarud leo sasa tatizo ni kwa MLIPA hawajawah nijib msg yangu hata siku moja
Ngoja nijarbu mkuuJuu my account..withdraw.halafu utapata hii.lazma namba ianze na +254
Usijichanganye ukaweka stake kubwa aiseee kila mmoja anafix mechi et [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo hela ipo MLIPA sasa ni kuwasunua tu maana wanakaaga na hela hata wikiMie wamenirudishia SMS ila pesa kweny acc haujaingia msaada please
Naomba contact zao MkuuHapo hela ipo MLIPA sasa ni kuwasunua tu maana wanakaaga na hela hata wiki
0715222132. Hii niliipata humu humu ila mimi hawajawah kunijib hata siku mojaNaomba contact zao Mkuu
So Baada ya hapo walikumalizia ttzNilikuwa na hilo tatizo. Kwangu mm nilikosea ktk registration. Ilibidi niwasiliane na watu wa security. Wachek security-en@1xbet.com
Juu my account..withdraw.halafu utapata hii.lazma namba ianze na +254
Nikita kutumia hyo bonus1xbet bonus
Hawa wa Nigeria watawapiga sana huku nae Kanji akipiga...Huoni iyo country code ya simu Mkuu??
Enda settings chiniNikita kutumia hyo bonus
Bla kutumia salio lang nafanya je
Mkuu shda ndo hyo