Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

053468cc676d220eb0fa2ad9f0c8df27.jpg
 
Waliorudishiwa hela zao za jumamosi tarehe 3/02/2018 hebu tunaomba ushuhuda.

Maana mimi naona chenga nyingi mno mpaka leo....

Na majibu yao km ya kompyuta
"Dear customer,
Please wait for our response. All requests are processed in turn.

Best regards,
1xBet Customer Support Team."
Mkuu tatizo liko wakala wa kibongo Mlipa baada ya ile msg ya Voda kudhibitisha kwamba ela imeenda Mlipa wao ilikua wapeleke 1xbet..1xbet nilichat nao wakasema hawajapata transaction yyte ivyo niwasiliane na wakala uku. Mlipa nilipowapigia wakasema si usamee elfu 6 tu nikawaambia hakuna chakusamee ndio mpaka leo sasa iv natumia Airtel fasta tu.
Mkuu mimi mwenyewe bado aloo wanasema hivyo hivyo tuu

 
Back
Top Bottom