Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_20180208_225620_090.JPG
IMG_20180208_225530_079.JPG

Mr. Wise
 
Mkuu tatizo liko wakala wa kibongo Mlipa baada ya ile msg ya Voda kudhibitisha kwamba ela imeenda Mlipa wao ilikua wapeleke 1xbet..1xbet nilichat nao wakasema hawajapata transaction yyte ivyo niwasiliane na wakala uku. Mlipa nilipowapigia wakasema si usamee elfu 6 tu nikawaambia hakuna chakusamee ndio mpaka leo sasa iv natumia Airtel fasta tu.

Kwahiyo hawajakulipa mpaka leo?
 
Hawajanilipa jamaa wa Mlipa niliyeongea naye aliniambia nisubirie washawaambia Vodacom watarudisha iyo buku 6 hao M lipa wezi tu mpaka sasa naisubiria
Me mlipa walinambia hela itatud mpesa ila hola, na aliyepokea simu kanikataza kabisa nisitume hela tena 1xbet wanasitisha mkataba nao
 
Back
Top Bottom