Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu tatizo liko wakala wa kibongo Mlipa baada ya ile msg ya Voda kudhibitisha kwamba ela imeenda Mlipa wao ilikua wapeleke 1xbet..1xbet nilichat nao wakasema hawajapata transaction yyte ivyo niwasiliane na wakala uku. Mlipa nilipowapigia wakasema si usamee elfu 6 tu nikawaambia hakuna chakusamee ndio mpaka leo sasa iv natumia Airtel fasta tu.
Mkuu mimi mwenyewe bado aloo wanasema hivyo hivyo tuu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…