kapo mwisho kabisa chiniHako ka option ktk web cjakaona..nadhani kapo ktk mobile application yao
Title inaitwaje iliyobeba hako ka optionkapo mwisho kabisa chini
match betts kama inavyo onekana hapo juuTitle inaitwaje iliyobeba hako ka option
Ktk web?match betts kama inavyo onekana hapo juu
ukishuka chini zaidi ndo unakutana na hizo options
match betts kama inavyo onekana hapo juu
ukishuka chini zaidi ndo unakutana na hizo options
Mkuu tatizo liko wakala wa kibongo Mlipa baada ya ile msg ya Voda kudhibitisha kwamba ela imeenda Mlipa wao ilikua wapeleke 1xbet..1xbet nilichat nao wakasema hawajapata transaction yyte ivyo niwasiliane na wakala uku. Mlipa nilipowapigia wakasema si usamee elfu 6 tu nikawaambia hakuna chakusamee ndio mpaka leo sasa iv natumia Airtel fasta tu.
ah kumbe we unatumia computer kwa upande huo sijui inapatikana wapiView attachment 692823
hapo ni kipengelekipiktkhivi?
Hawajanilipa jamaa wa Mlipa niliyeongea naye aliniambia nisubirie washawaambia Vodacom watarudisha iyo buku 6 hao M lipa wezi tu mpaka sasa naisubiriaKwahiyo hawajakulipa mpaka leo?
nipetie mawasiliano ya M-lipaHawajanilipa jamaa wa Mlipa niliyeongea naye aliniambia nisubirie washawaambia Vodacom watarudisha iyo buku 6 hao M lipa wezi tu mpaka sasa naisubiria
Me mlipa walinambia hela itatud mpesa ila hola, na aliyepokea simu kanikataza kabisa nisitume hela tena 1xbet wanasitisha mkataba naoHawajanilipa jamaa wa Mlipa niliyeongea naye aliniambia nisubirie washawaambia Vodacom watarudisha iyo buku 6 hao M lipa wezi tu mpaka sasa naisubiria
Ata mm aliniambia ivyo ivyo wapigaji tu haoMe mlipa walinambia hela itatud mpesa ila hola, na aliyepokea simu kanikataza kabisa nisitume hela tena 1xbet wanasitisha mkataba nao
naomba namba ya kampuni yao hao m lipaMe mlipa walinambia hela itatud mpesa ila hola, na aliyepokea simu kanikataza kabisa nisitume hela tena 1xbet wanasitisha mkataba nao
kushea mawasiliano imekua ishu je mikeka?Ata mm aliniambia ivyo ivyo wapigaji tu hao