Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Nafikir bet yako ya odd 5 ilitiki both team to score and over 2.5[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] FT 1:3
Nafikir bet yako ya odd 5 ilitiki both team to score and over 2.5[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] FT 1:3
Uwe unaweka hizi nondoEvery little helps brothers.![]()
Au ndio inplayEvery little helps brothers.![]()
Mi mwenyewe Rays alinipiga pesa mkuu 33k kwa kuamini ni fixed match maana aliniakikishia hivyo dah kilicho nikuta Mungu ndiye anajua ndio maana kwa sasa nimepumzika nitarudi baadae huyu Rays mngese kweli hamna mtu anaye fix match aisee ni uongo tu.*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima anapigwa jua huku anauza kitabukilichoandikwa*
*NJIA YAKUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO*
Mwenyewe nimefanya hivyo hata dk 10 zijafika mikeka yote imerudi...kumbe hiyo timu 1 niliyokuwa naililia jana ilihairishwa so nasubiria hizo 48 hours nipate changuIpo....nilifuta accidentaly mkekq ambao ulikuwa unsettled...niliwasiliana nao...wakaniambia nitume National ID, account number ya 1xbet, duration ya mikeka niliyofuta.., yote ikarudi
Hapana mjomba, hio ni ice hockey humu watu wengi nguvu zipo ktk football na basketball.Au ndio inplay
Hata hockey na makorokoro mengne tunatia mzgoHapana mjomba, hio ni ice hockey humu watu wengi nguvu zipo ktk football na basketball.
wise nisaidie link ya hawa 1xbet mkuu.mi natumia pc ila kwa versionya simu naona km kuna option sizipati na baadhi ya ligi.Hako ka option ktk web cjakaona..nadhani kapo ktk mobile application yao
mkuu hebu nisaidie jinsi ya kupata na ligi zingine 1xbet kwa pc.mi napata ligi chache kinomaIpo....nilifuta accidentaly mkekq ambao ulikuwa unsettled...niliwasiliana nao...wakaniambia nitume National ID, account number ya 1xbet, duration ya mikeka niliyofuta.., yote ikarudi
Dah mzee mbona hzi odds balaa,nmezipenda kchz.Kwanza nimsubilie afanye kunikadiria za kunipa![]()
Odd hizi nilikuwa natest mitambo uhakika wa kushinda ulikuwa mdogo sana halafu nikajilipu na 10000Dah mzee mbona hzi odds balaa,nmezipenda kchz.
apo maana ake ukichkua hcho kiasi af unagawa kwa hyo unsettled ndo itakuwa yako.
Hongera sana mkuu apo una kama 871k .Odd hizi nilikuwa natest mitambo uhakika wa kushinda ulikuwa mdogo sana halafu nikajilipu na 10000