Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uko sawa mkuu then unaendelea
itafute kwanza utakapo kwama ndio uje
ingia link nomber one
IMG_20180210_120521_503.JPG
IMG_20180210_120347_341.JPG
IMG_20180210_120358_773.JPG
 
1xbet noma sana kumbe ukicheza kwa kutumia BONUS ACCOUNT hizo game huwez zicheza tena kwenye Account ya kawaida, maana asubuh nilicheza game zote za EPL kwa kutumia bonus , sasa nimerud account ya kawaida game zimekataa wanasema ulishacheza kwenye bonus
 
Wadau kwema nimedeposite stake yangu meridian nimekosea kuweka id code yangu, voda wanasema subr masaa 24,kwaiyo wadau nilikuwa naomba mtu aniwezeshe 5k kesho jioni namlegeshea mpunga wake.aliye tayari kunupatia ni Pm nimpatie no
Duuuh text yangu haijapata msamalia mwema2[emoji15] [emoji15]
 
Princess wapo fresh?
Je, wana match za club maana mimi premier natumia VFL ya national league VFC huwa siipati.
Wapo fresh na mechi zote zipo ukiingia kwenye Site pale juu palipo andikwa SPORT Bonyeza kisha ingia kwenye Soccer hapo utaona ligi zote kwa mataifa yake
 
huko nawaachia ninnyi mi nipo na
by kicking
brace
substitute to score n.k

maana hizi timu zimezidi kubeti


Mkuu hakuna option ya uhakika kwny betting ... take it from me. Hata hizi direct win tunazilaumu bure tu, ndio game ilivyo.
Niliweka hiyo "Substitute to score - No", lkn akaingia Victor Wanyama ... tena akafunga goli la ghadhabu kbs.
 
Back
Top Bottom