Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu bado umo?Yan nmeamka saa nane alichonifanyia huyu
Bilbao ckuamin kabsa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu bado umo?Yan nmeamka saa nane alichonifanyia huyu
Bilbao ckuamin kabsa
BET WONUSIKU MWEMA
Deportivo Capiata - Club Sportivo Luqueno
Over 2.5 goals
Combination Odds: 1.85
Wakuu hakuna mwenye kulifahamu hili?Naomba kufahau utaratibu wa ku sell mkeka kwa 1xbet na malipo yanakuwaje baada ya kusell
Natumia ya premier mkuu maumivu ya detroit nimeyapoozea huku asubuhi asubuhiSafi sn mkuu ... unacheza Virtual ya Princessbet ama?
Natumia ya premier mkuu maumivu ya detroit nimeyapoozea huku asubuhi asubuhi
Ndugu zangu Phills nilishawajumuisha na Cavs tatizo utamu wa odds alizopewa Detroit ulininogea nikawatoa ndugu zangu nikawachukua hawa wachawiPole mkuu, niliwachukua Cavs na ndugu zako philadephia win 1st quarter wametoa fresh nawasubiri sydney wanawake watoe ov 2.5 bet iwe won...Naomba kufahamu utaratibu kwa ku sell mkeka kwa kutumia 1xbet na wanalipaje baada ya ku sell....najiandaa kwa lolote hapa nikiona hao mademu wanazingua
Duh hiyo tena balaa! unakula dk ya kwanza!Kuna option ya team gani itaanzisha mpira ina odd 1.9. Hapo ni kucheza na bahati, filimbi ikipigwa tu unajua umepata au umekosa
Princess wapo fresh?Safi ... mm natumia ya Princessbet.
Princess wapo fresh?
Je, wana match za club maana mimi premier natumia VFL ya national league VFC huwa siipati.
Poa mkuu na mimi ngoja nije nikajaribu na hukoYes wako poa ... wana timu za EPL. Wanatoa sn 3+ ... juzi nilimbahatisha, nlianza na 20K nkafika 90K (faida 70K) ... nlipoona naanza kuliwa tu nikasepa. Ngoja nimjaribu saiv na 5K
Mkuu naomba kujua utaratibu wa kusell mkeka na malipo yanakuwajeYes wako poa ... wana timu za EPL. Wanatoa sn 3+ ... juzi nilimbahatisha, nlianza na 20K nkafika 90K (faida 70K) ... nlipoona naanza kuliwa tu nikasepa. Ngoja nimjaribu saiv na 5K
Poa mkuu na mimi ngoja nije nikajaribu na huko
Mkuu naomba kujua utaratibu wa kusell mkeka na malipo yanakuwaje
Habari zenu wadau, VP hivi princess unaruhusiwa kubadilisha namba ya kumbukumbu ya malipo/namba ya simu?
Oooh sawa mkuu ngoja nije huko muda huu nipasome some kwanzaKaribu Chief ... hasa hasa mm naangalia timu zenye Lose "L" au Draw "D" nyingi akicheza na ambaye anaafadhari kdg ...
Mfano hapa, BUR (Burnley), SWA (Swansea), SOU (Southampton) au WAT (Watford) ... next games zao kuna possibility kubwa ya kutoa 3+ ... so nachagua moja ambayo inacheza na mbabe kdg wa muda huo. Odds mara nyingi zinakuwa kati ya 1.62 mpk 1.8 ...
View attachment 693332
Hivi mkuu nikiongeza namba ya tigo wakati nikiisajili nilitumia voda ninaweza kuwithdraw hata kupitia tigo pesa?Inawezekana. Kwenye profile yako update mobile namba tu.
Shukrank mkuu naona mademu wamenitunuku 3+Huwa naona wanaandika ukisell out unapata sh ngp. Ukifungua hiyo bet slip yako utaona kuna sehemu imeandikwa Sell Out at <<amount>>
Ngoja nikiweka mkeka nitascreenshot nkuonyeshe.