I-NGOSHA
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 496
- 182
1XBETHii kampuni gani mkuu au ndio mambo ya1xbet?
1XBETHii kampuni gani mkuu au ndio mambo ya1xbet?
Bet won ila hiyo mechi ya jerv VS pors IMEKUWA CANCELED DAKIKA CHACHE KABLA YA KUANZATWENZETU FASTA BADO DKK 12
![]()
Nimekufuata mkuu ila nimepunguza tamaa kidogo kwa kuchukua odds 2+...tuombe mungu mambo yaende poa1XBET
Pole sana mkuu. Premier ni QUMER sana kwenye ku-withdraw. Muamala wako utakamilishwa siku ya Jumatatu au Jumanne kwa kuwa wikendi huwa hawafanyi kazi. Hawa jaamaa ni wapuuzi mno aisee!Hakuna masuala ya kimaku ninayochukiaga ya premierbet kushikilia hela yangu mpaka nishindwe kukuza mtaji jmn kupitia mkekabet,yaani tangu niwithdraw saa 9 alasiri holaaa,duh!
mkuu siku hizi hakuna kuumiza kichwa
Usiku mwema pia mkuu. Tunasepa pamoja kama hivyo.USIKU MWEMA
Deportivo Capiata - Club Sportivo Luqueno
Over 2.5 goals
Combination Odds: 1.85
Sijaanza jana mkuu nina experience na virtual naielewa vizuri sana mkuuwanakulia timing tu subiri zamu yako ya kunyolewa ikifika
SAWA MKUUUsiku mwema pia mkuu. Tunasepa pamoja kama hivyo.
Kabisamkuu siku hizi hakuna kuumiza kichwa
ni by kicking tu kampuni za kibongo zitasubiri sana
Ulichukua zipi na zipi? Maana kwangu bet imechanikaNimekufuata mkuu ila nimepunguza tamaa kidogo kwa kuchukua odds 2+...tuombe mungu mambo yaende poa