Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

f04505237fd45e0648e5af03f2652486.jpg


Stake single tukutane KWA diamond
 
wadau nna shida na odds 2 au 1.5 iwe kwa mechi za kesho au hata leo kama inawezekana
 
Naona wameiondoa tigo hawa 1xbet du...nifanyaje sasa nami nina mtaji mkubwa kule zaidi ya laki 2..
Hawa jamaa kweli risk kubaki na hela kule du
Screenshot_2018-02-09-19-39-54.png
 
Vipi kwa Airtel inakubali maana mm sina line ya Voda...nataka nisajili tu Airtel sababu jamaa tangu nimejiunga nao nimekula faida zaidi ya million ndani ya siku kumi tu...sitaki kuwaaacha
 
Leo kwa mara ya kwanza nimewithdraw 1xBet. Nimetoa saa 20:01 na imeingia kwa simu saa 20:05 (takribani dk 4)
 
Hakuna masuala ya kimaku ninayochukiaga ya premierbet kushikilia hela yangu mpaka nishindwe kukuza mtaji jmn kupitia mkekabet,yaani tangu niwithdraw saa 9 alasiri holaaa,duh!
 
Back
Top Bottom