Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ni pale unapokua unaisubiria timu moja baada ya nyingine kufanya kazi nzuri huu ujinga wa kuchanganya mechi sijui ntauacha lini
 
sasa huyu fala akmaar si bora ningembetia kona tu!!anachana mkeka mzuri hivi hiviiiiii
 
sasa huyu fala akmaar si bora ningembetia kona tu!!anachana mkeka mzuri hivi hiviiiiii

Mpuuz sn AZ Alkmaar ... bora ningeSell Out, nlipitiwa na usingz naamka nakuta 0-0 .. grrrrrrrr !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…