Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Cardiff City v Bolton Wanderers
England Championship
13-02-2018 22:45:
3 Way 1 1.59

Accrington Stanley v Crewe Alexandra FC
England League Two
13-02-2018 22:45:
3 Way 1 1.74

Wigan Athletic v Blackpool FC
England League One
13-02-2018 22:45:
3 Way 1 1.54
Total odds 4+
 
upload_2018-2-14_2-2-1.png
lost odd 2.3+
 
unataka kuonyesha tu.kwba na ww umeotea na imekua.kweli ila kama una uhakika na ukisemacho njoo na data na supoting reference
Ngoja nimsaidie kutetea hoja yake. Basel wamepoteza mechi mbili za uefa (ambazo ni dhidi ya man u mwaka 2002 na arsenal mwaka 2016) tu wakiwa nyumbani na timu za uingereza. alishinda mechi 4 ya eufa (dhidi ya mam u, liverpool na chelsea). Pia anadraw moja tu ya mwaka 2002 dhidi ya liverpool. Kwa rekodi pekee akiwa nyumbani ndio maana anaposibility ya kuwashangaza watu. [emoji4] [emoji4]
 
Masharti ya hii hela ya kubet
1. Kabla ya kubet usiwe na lengo lolote, fanya kama umepanda mpunga kwenye mawe, ukiliwa sawa na ukila sawa
Ila
Ukishakula, withdraw na ukafanye matumizi au malengo yako kabla ya kuchungulia odds zilizoshiba humu. Wengine huwa tunakula hela nzuri ila mwisho wa siku tunamrudishia kanjibai kwa ajili ya tamaa ya kuweka stake kubwa zaidi isiyokuwa na jasho. Hakikisha unaacha kiasi fulani kwa ajili ya kuwekeza tena.
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Ngoja niwa changie mawazo wanangu wafaida
MKEKA NAMBA MOJA
Juventus Turin v Tottenham Hotspur
Totals 1.5 - Over 1.44

Wycombe Wanderers v Swindon Town
Both Teams to score - Yes 1.60
TOTAL ODDS 2.3

MKEKA NAMBA MBILI
FC Basel v Manchester City Totals 2.5 - Over 1.60
Cardiff City v Bolton Wanderers 3 Way - 1 1.59
Oldham Athletic v Milton Keynes Dons Both Teams to score - Yes 1.72

TOTAL ODDS 4.38
 
1st result: Man city 1.5 over
odds 3.23

Sterling asilete ushubwada wake kabisa leo
 
Back
Top Bottom